Nabii Samson aliomwa Kusema Neno la Kinabii Juu ya Muhitimu, Mtumishi wa Mungu aliyepewa Neema Kubwa Ya kuwarejesha watu Kwa Mungu , alinukuliwa akisema Mwenye Hekima ana huzuni sana kwa Hekima aliyonayo na Mtu anayeongeza Maarifa anaongeza masikitiko,
japo Mungu Mbele yetu ametuwekea Mambo makuu mawili kufurahi na kuhuzunika ,ili wakati wakufurahi tuweze kufurahi ila wakati wa mateso tusilie bali tuweze kufikiria tumia Ufahamu wako kufikiria unapokutana na ugumu wowote ule,
na cha kuzingatia fahamu Tu kwamba kila unapoongeza nafasi Moja ya furaha ujue umeongeza pia na nafasi Moja ya Huzuni, Neema ya bwana wetu Yesu kristo ikuongoze maishani Amina,
kwa Pamoja familia ya Mtu wa Mungu Nabii Samson Inampongeza sana Grace kwa Hatua aliyofikia Ameleta Heshima kubwa Kwa Familia ya Mchungaji Jonson Jackson Mungu ammbariki sana na asiishie hapa,
ReplyDeleteUjumbe Mshike sana Elimu asije akaenda zake,